Views
767
This YouTube video has 767 views and was published Oct 16, 2026 on Citizen TV Kenya. That is 0.2x the channel's average views.
CITIZEN NIPASHE WIKENDI ~ Oct 16 2026
Ruto amshambulia Natembeya, asema atawapa upinzani wakati mgumu uchaguzi wa 2027
Viongozi wa upinzani wamtuhumu Ruto kutumia vibaya maafisa wa usalama kuvuruga mikutano yao
Ruku awaagiza maafisa 84 likizo ya lazima baada ya kashfa ya ulaghai wa mishahara wa KSh bilioni 6.2