[SUBS]RANK
VIDEOS / ISRAEL MBONYI / IWCJCSEMW60

Israel Mbonyi - Nitaamini

Israel Mbonyi ISRAEL MBONYI · OCT 19, 2024 · 12:57 · MUSIC

This YouTube video has 67 000 000 views, 272 513 likes, 21 043 comments and was published Oct 19, 2024 on Israel Mbonyi. That is 8.1x the channel's average views.

Description

stream at https://bfan.link/nita-amini Keep up with Israel Mbonyi at https://Imbonyi.com https://facebook.com/imbonyi https://instagram.com/israelmbonyi https://twitter.com/israembonyi https://www.tiktok.com/@israelmbonyi Contacts : Information : Info@Imbonyi.com Bookings : Booking@Imbonyi.com Nita Amini ____________ Verse : Sasa naapa Hakuna miungu ntaamini Satajitia unajisi , Chakula cha ufalme Na Sitauza urithi wa wokovu, anasa za Kisasa NiNa uhakika waweza , waweza kuniponya, Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu Chorus : Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mauti Nina wewe sitaogopa kamwe Mungu wangu wanishika mkono,Wautuliza moyo wangu, Si na mashaka wanibeba mgongoni Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yoote, Bado nitaamini Verse : Si Mara y’a kwanza kunitowa katika magumu Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu Ni na historia maalum,We ni chemchem ya uzima. Outro : Nitaamini, bado nitaamini Ukiniponya nitaamini, Hata usiniponye bado nitaamini Ukinijibu nitaamini , Hata usinijibu bado nitaamini Ukibadilisha nitaamini , Hata usibadilishe bado nitaamini Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu ©12stonesRecord