Subscribers
1 010 000
YOUTUBE SHOWS "1.01M subscribers"
BBC News Swahili has 1 010 000 YouTube subscribers and 1 633 219 views across the 106 videos we track, counted Oct 28, 2026.
Video za habari na matukio duniani kutoka BBCSwahili.com
“Nimeshawahi kunyimwa kazi kisa kuwa mwanamke”
Methusela Lusato: Mpiga gitaa la besi anayevuma mitandaoni
Wakosoaji wa rwanda wanaofariki na kutoweka
Fred Obachi Machokaa: Siri ya miaka 50 katika utangazaji wa redio
Paul Mackenzie: Mchungaji aliyegeuka muuaji
Kutoka Tanzania hadi Madrid: Safari ya Jackie8 na simulizi za ubaguzi
Joseph Kabila: Ana malengo gani mbele ya mamlaka ya Tshisekedi DRC?
Witness Kimath: Fundi seremala aliyejikita katika Udiplomasia
Kwa heri Raila Odinga: Uchunguzi wa BBC Afrika Eye
Binti wa miaka 20 anayefanya usafi wa mitaro bila malipo
Waridi wa BBC: 'Kilio cha watoto kilinisukuma kupaza sauti'
Heha Movers: Kutoka mitaa ya Kibera hadi umaarufu mtandaoni Kenya
Jamila Kizondo: Mkenya anayetangaza utamaduni wa kiswahili Marekani
El nino: Umoja wa mataifa waonya mataifa kuchukua tahadhari
Mange Kimambi aipeleka Meta mahakamani
'Muonekano wangu usiwe sababu ya manyanyaso mtandaoni'
Xi Jinping kutua Marekani baada ya miaka 11
'Nilitabasamu jukwaani kuficha huzuni yangu'
Je, inawezekana kizazi kizima kikawa kinapungua uwezo wa kufikiri?
Anna Lunguya: Mtaalamu wa kompyuta aliyeikacha fani yake na kugeukia mitindo
Huenda baba na mama wasingeachana historia yangu ingekuwa tofauti
Joseph Cutz: Kinyozi wa DRC anayenyoa watu maarufu Kenya
Upandikizaji wa uume unavyosaidia wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume Tanzania
Omar al-Bayoumi: Alikuwa na uhusiano gani na washambuliaji wa 9/11?
Messi kustaafu: Matukio ya kukumbukwa katika safari yake ya soka Argentina
Copy of AMKA NA BBC - SEPTEMBA 23' 2026
Copy of AMKA NA BBC - SEPTEMBA 23' 2026
Shiko wa Machuma: Msichana aliyepoteza miguu yote anayeng'ara kwenye unyanyuaji vyuma Kenya
Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi kunamaanisha nini?
Makamu wa rais mpya wa Tanzania ni nani?
Mabwawa 5 makubwa ya umeme Afrika: Nyerere la ngapi?
Maswali matano muhumu kuhusu kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Tanzania
'Nina maumivu makali ya kuchapwa na kitu ambacho sina uhakika ni kitu gani'
Kwa nini baadhi ya wanafunzi wa vyuo hugeuza mahusiano kuwa biashara?
Ellen Ponsian: Binti anayewafuatilia simba 300 porini
Mume Mmoja, Wake Wawili: Safari ya miaka zaidi ya 20 katika ndoa
"Sisi ni Sifuna"
Kifo cha mpelelezi Afrika Kusini: Siri nzito yafichuka kuhusu wanajeshi maalum
Kwa nini Azam inashindwa kutwaa taji?
Je gari gani ina kasi zaidi duniani?